YEHOVA YIRE MINISTRY
Lengo kuu la Huduma hii ni kueneza Injili ya Kristo mahali popote bila kuegemea katika misingi ya dhehebu lolote bali katika Neno la Kristo pekee kama ilivyoandikwa katika Matendo ya Mitume 26:18 uwafumbue macho yao, na kuwageuza waiache giza na kuielekea nuru, waziache na nguvu za Shetani na kumwelekea Mungu; kisha wapate msamaha wa dhambi zao, na urithi miongoni mwao waliotakaswa kwa imani iliyo kwangu mimi. Katika neno hili tunaamini kama huduma ya Yehova Yire, watu watageuzwa moyo yao na kuiacha giza na kuielekea Nuru.
College News
Powered by Blogger.